Mpira wa kikapu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Basketball.jpeg|thumb|right|Mpira wa kikapu]]
[[File:Basketball.jpeg|thumb|right|Mpira wa kikapu]]
{{Sports}}
{{michezo}}
'''Mpira wa kikapu''' ni aina ya [[michezo]] inayopendwa katika sehemu nyingi za dunia. Mara nyingi hufanywa ukumbini wakati timu bili za wachezaji wanajaribu kutupa mpira katika kikapu cha timu nyingine. Vikapu viko mwishoni upande mwembamba wa uwanja kwa urefu wa mita 3.05.
'''Mpira wa kikapu''' ni aina ya [[michezo]] inayopendwa katika sehemu nyingi za [[dunia]].


Mara nyingi hufanywa [[ukumbi]]ni wakati [[timu]] mbili za wachezaji wanajaribu kuingiza [[mpira]] katika [[kikapu]] cha timu nyingine.
Kila timu huwa na wachezaji 5 uwanjani na hadi wachezaji wa kando 7 walio tayari kuchukua nafasi ya mchezaji wingine muda wowote. Kila goli katika kikapu cha upande mwingine inahesabiwa kama pointi 2 au 3a kutegemeana na umbali wa kurusha. Goli ya penalti huleta pointi 1.


Vikapu viko mwishoni upande mwembamba wa [[uwanja]] kwa [[urefu]] wa [[mita]] 3.05.

Kila timu huwa na wachezaji 5 uwanjani na hadi wachezaji wa kando 7 walio tayari kuchukua nafasi ya mchezaji mwingine muda wowote.

Kila [[goli]] katika kikapu cha upande mwingine linahesabiwa kama [[pointi]] 2 au 3, kutegemeana na [[umbali]] wa kurusha. Goli la [[penalti]] huleta pointi 1 tu.
==Historia==
==Historia==
Mchezo huu ulianzishwa mwaka na mwalimu James Naismith kwenye chuo cha Springfield College huko [[Massachusetts]]. Alibuni mchezo kwa ajili ya wanafunzi wake ili wapate mazoezi wakati wa kipupwe waliposhindwa kucheza nje.
[[Mchezo]] huu ulianzishwa na [[mwalimu]] [[James Naismith]] kwenye [[chuo]] cha Springfield College huko [[Massachusetts]]. Alibuni mchezo huo kwa ajili ya wanafunzi wake ili wapate ma[[zoezi]] wakati wa [[kipupwe]] waliposhindwa kucheza nje.


Mpira wa kikapu ulienea haraka kwenye vyuo vya Marekani, katika karne ya 20 pia nje ya vyuoni. 1936 mchezo huu ulikubaliwa kwenye [[michezo ya olimpiki]].
Mpira wa kikapu ulienea haraka kwenye vyuo vya [[Marekani]], katika [[karne ya 20]] pia nje ya vyuo.


Mwaka [[1936]] mchezo huu ulikubaliwa kwenye [[michezo ya olimpiki]].
Hadi leo ligi muhimu zaidi duniani ni [[Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani]].

Hadi leo ligi muhimu zaidi duniani ni ile ya [[Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani]].
[[Picha:Uwanja wa mpira wa kikapu.jpg|thumbnail|350px|Vipimo vya uwanja wa mpira wa kikapu]]
[[Picha:Uwanja wa mpira wa kikapu.jpg|thumbnail|350px|Vipimo vya uwanja wa mpira wa kikapu]]

==Kanuni za mpira wa kikapu==
==Kanuni za mpira wa kikapu==
Shabaha ya mchzo ni kushinda vikapu vingi kuliko timu nyingine.
[[Shabaha]] ya mchezo ni kushinda vikapu vingi kuliko timu nyingine.


Mpira unaotumiwa kimataifa ni mpira wa ngozi au mata sintetiki mwenye kipenyo cha milimita 749 hadi 780 na uzito wa gramu 567 hadi 650.
Mpira unaotumiwa kimataifa ni [[mpira wa ngozi]] au [[mata]] [[sintetiki]] wenye [[kipenyo]] cha [[milimita]] 749 hadi 780 na [[uzito]] wa [[gramu]] 567 hadi 650.


Uwanja huwa na vipimo vya mita 28 kwa 15.
Uwanja huwa na vipimo vya mita 28 kwa 15.


Wakati wa mchezo kuna marefa 2-3 uwanjani. Kando la uwanja hukaa waamuzi wengine wanaoshika wakati na miniti za goli na makosa.
Wakati wa mchezo kuna ma[[refa]] 2-3 uwanjani. Kando ya uwanja hukaa waamuzi wengine wanaoshika wakati na [[miniti]] za magoli na makosa.


==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
{{commonscat}}
* [http://www.fiba.com FIBA], Fédération Internationale de Basketball / International Basketball Federation
* [http://www.fiba.com FIBA], Fédération Internationale de Basketball / International Basketball Federation
* [http://www.iwbf.org IWBF], International Wheelchair Basketball Federation
* [http://www.iwbf.org IWBF], International Wheelchair Basketball Federation

[[Category:Michezo]]


{{wikt}}
{{wikt}}
[[Category:Michezo]]
{{commonscat}}

Pitio la 15:15, 23 Oktoba 2014

Mpira wa kikapu

Mpira wa kikapu ni aina ya michezo inayopendwa katika sehemu nyingi za dunia.

Mara nyingi hufanywa ukumbini wakati timu mbili za wachezaji wanajaribu kuingiza mpira katika kikapu cha timu nyingine.

Vikapu viko mwishoni upande mwembamba wa uwanja kwa urefu wa mita 3.05.

Kila timu huwa na wachezaji 5 uwanjani na hadi wachezaji wa kando 7 walio tayari kuchukua nafasi ya mchezaji mwingine muda wowote.

Kila goli katika kikapu cha upande mwingine linahesabiwa kama pointi 2 au 3, kutegemeana na umbali wa kurusha. Goli la penalti huleta pointi 1 tu.

Historia

Mchezo huu ulianzishwa na mwalimu James Naismith kwenye chuo cha Springfield College huko Massachusetts. Alibuni mchezo huo kwa ajili ya wanafunzi wake ili wapate mazoezi wakati wa kipupwe waliposhindwa kucheza nje.

Mpira wa kikapu ulienea haraka kwenye vyuo vya Marekani, katika karne ya 20 pia nje ya vyuo.

Mwaka 1936 mchezo huu ulikubaliwa kwenye michezo ya olimpiki.

Hadi leo ligi muhimu zaidi duniani ni ile ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani.

Vipimo vya uwanja wa mpira wa kikapu

Kanuni za mpira wa kikapu

Shabaha ya mchezo ni kushinda vikapu vingi kuliko timu nyingine.

Mpira unaotumiwa kimataifa ni mpira wa ngozi au mata sintetiki wenye kipenyo cha milimita 749 hadi 780 na uzito wa gramu 567 hadi 650.

Uwanja huwa na vipimo vya mita 28 kwa 15.

Wakati wa mchezo kuna marefa 2-3 uwanjani. Kando ya uwanja hukaa waamuzi wengine wanaoshika wakati na miniti za magoli na makosa.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • FIBA, Fédération Internationale de Basketball / International Basketball Federation
  • IWBF, International Wheelchair Basketball Federation
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: