Kikapu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikapu ni kifaa ambacho kijadi hutumika kubebea vitu.

Kinatengenezwa kutoka nyuzi ngumu, ambazo zinaweza kufanywa kutokana na vitu mbalimbali, kama vile mianzi, minyaa, matete, mikonge pamoja na vipande vya mbao.

Wakati vikapu vingi vinatengenezwa kutoka kwa vifaa vya mimea, vifaa vingine kama singa za farasi, nyangumi, au nyaya za chuma vinaweza kutumiwa.

Vikapu kwa ujumla hutengenezwa kwa mikono.

Vikapu vingine vinafungwa na kifuniko, wengine huachwa wazi.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikapu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.