Refa
Jump to navigation
Jump to search
Refa ni mtu anayesimamia na kuongoza michezo mbalimbali kama ngumi, mpira wa miguu, mpira wa kikapu n.k.
Refa huhakikisha sheria za mchezo husika zinafuatwa kikamilifu.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Refa kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |