Uprotestanti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 107 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q23540 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Mikolow protestant church pulpit.jpg|thumb|right|Wahusika wakuu wa Matengenezo ya Kiprotestanti: [[Martin Luther]] na [[John Calvin]] wameonyesha katika [[mimbari]] ya [[kanisa]] la [[Mikolow]], [[Poland]].]]
'''Uprotestanti''' ni aina ya [[Ukristo]] iliyotokana na [[Kanisa Katoliki]] Ulaya Kaskazini katika [[karne XVI]] kufuatana na tapo la kidini na la kisiasa maarufu kwa jina la "[[Matengenezo ya Kiprotestanti]]". Wahusika wakuu wa tapo hilo ni [[Martin Luther]] na [[Yohane Kalvini]].
[[File:Protestentism world map.png|thumb|500px|[[Ramani]] inayoonyesha asilimia ya [[Waprotestanti]] kati ya wakazi wa kila nchi duniani.]]
[[File:Protestants by country.png|thumb|500px|[[Ramani]] inayoonyesha idadi ya [[Waprotestanti]] kwa kila nchi duniani mwaka [[2010]].
{{legend|black|Zaidi ya milioni 150}}
{{legend|#555555|Zaidi ya milioni 50}}
{{legend|#702963|Zaidi ya milioni 20}}
{{legend|#B53389|Zaidi ya milioni}}
{{legend|#DF73FF|Zaidi ya milioni 5}}
{{legend|lavenderblush|More than 1 million}}]]'''Uprotestanti''' ni aina ya [[Ukristo]] iliyotokana na [[Kanisa Katoliki]] huko [[Ulaya Kaskazini]] katika [[karne XVI]] kufuatana na tapo la kidini na la kisiasa maarufu kwa jina la "[[Matengenezo ya Kiprotestanti]]". Wahusika wakuu wa tapo hilo ni [[Martin Luther]] na [[Yohane Kalvini]].


== Asili ya jina ==
== Asili ya jina ==


Mwaka [[1529]], kikao cha Bunge la [[Speyer]] ([[Ujerumani]]) lilikataza tena uenezaji wa Matengenezo nchini mpaka [[Mtaguso mkuu]] utakaporudisha utaratibu ndaniya [[Kanisa]].
Mwaka [[1529]], kikao cha [[Bunge]] la [[Speyer]] ([[Ujerumani]]) lilikataza tena uenezaji wa Matengenezo katika [[Dola Takatifu la Kiroma]] mpaka [[Mtaguso mkuu]] utakaporudisha utaratibu ndani ya [[Kanisa]].


Lakini watawala waliomuunga mkono Luther walitoa hati ya pamoja inayoanza na maneno ''Protestamur'', yaani 'Tunapinga'.
Lakini watawala waliomuunga mkono Luther walitoa hati ya pamoja inayoanza na maneno ''Protestamur'', yaani ''Tunapinga''.


Mwaka [[1555]] [[Amani ya Augsburg]] ilipitisha kauli ya kwamba [[cuius regio, eius religio]], yaani kila raia anapaswa kufuata [[madhehebu]] ya eneo anamoishi, kadiri ilivyopangwa na mtawala wake, la sivyo ni lazima ahame.
Mwaka [[1555]] [[Amani ya Augsburg]] ilipitisha kauli ya kwamba [[cuius regio, eius religio]], yaani kila [[raia]] anapaswa kufuata [[madhehebu]] ya [[eneo]] anamoishi, kadiri ilivyopangwa na [[mtawala]] wake, la sivyo ni lazima ahame.


== Teolojia ==
== Teolojia ==


Uprotestanti unagawanyika katika maelfu ya madhehebu tofauti, lakini inawezekana kutambua mambo kadhaa yanayolingana katika yote:
Uprotestanti unagawanyika katika maelfu ya [[madhehebu]] tofauti, lakini inawezekana kutambua mambo kadhaa yanayolingana katika hayo yote:
* kusisitiza [[Biblia]] kama msingi wa [[imani]].
* kusisitiza [[Biblia]] kama msingi wa [[imani]].
* kusisitiza "[[wokovu]] kwa njia ya imani".
* kusisitiza "[[wokovu]] kwa njia ya imani".
* kusisitiza ukosefu wa binadamu na haja ya damu ya [[Yesu]] kama kafara iliyopangwa na [[Mungu]].
* kusisitiza [[ukosefu]] wa [[binadamu]] na [[haja]] ya [[damu]] ya [[Yesu]] kama [[kafara]] iliyopangwa na [[Mungu]].

==Uenezi==
Leo Waprotestanti wote duniani wanakadiriwa kuwa kati ya 800,000,000 na 1,000,000,000.

== Tanbihi ==
{{Reflist|34em}}

== Marejeo ==
*Cook, Martin L. (1991). ''The Open Circle: Confessional Method in Theology''. Minneapolis, Minn.: Fortress Press. xiv, 130 p. N.B.: Discusses the place of Confessions of Faith in Protestant theology, especially in Lutheranism. ISBN 0-8006-2482-3
*[[John Dillenberger|Dillenberger, John]], and [[Claude Welch]] (1988). ''Protestant Christianity, Interpreted through Its Development''. Second ed. New York: Macmillan Publishing Co. ISBN 0-02-329601-1
*{{cite book|title=Christianity's Dangerous Idea|last=McGrath|first=Alister E.|author-link=Alister McGrath|year=2007|location=New York|publisher=[[HarperOne]]}}
*Nash, Arnold S., ed. (1951). ''Protestant Thought in the Twentieth Century: Whence & Whither''? New York: Macmillan Co.
*{{cite book|title=Protestantism: A Very Short Introduction|last=Noll|first=Mark A.|author-link=Mark Noll|year=2011|location=Oxford|publisher=[[Oxford University Press]]}}

== Viungo vya nje ==
{{Wiktionary|Protestant|Protestantism|evangelical}}
{{Commons category|Protestantism}}
* [http://www.newadvent.org/cathen/12495a.htm "Protestantism"] from the 1917 ''[[Catholic Encyclopedia]]''
* [http://www.oikoumene.org/ World Council of Churches] World body for mainline protestant churches

{{mbegu-Ukristo}}


[[Jamii:Ukristo]]
[[Jamii:Ukristo]]

Pitio la 10:30, 18 Juni 2014

Wahusika wakuu wa Matengenezo ya Kiprotestanti: Martin Luther na John Calvin wameonyesha katika mimbari ya kanisa la Mikolow, Poland.
Ramani inayoonyesha asilimia ya Waprotestanti kati ya wakazi wa kila nchi duniani.
Ramani inayoonyesha idadi ya Waprotestanti kwa kila nchi duniani mwaka 2010.      Zaidi ya milioni 150      Zaidi ya milioni 50      Zaidi ya milioni 20      Zaidi ya milioni      Zaidi ya milioni 5      More than 1 million

Uprotestanti ni aina ya Ukristo iliyotokana na Kanisa Katoliki huko Ulaya Kaskazini katika karne XVI kufuatana na tapo la kidini na la kisiasa maarufu kwa jina la "Matengenezo ya Kiprotestanti". Wahusika wakuu wa tapo hilo ni Martin Luther na Yohane Kalvini.

Asili ya jina

Mwaka 1529, kikao cha Bunge la Speyer (Ujerumani) lilikataza tena uenezaji wa Matengenezo katika Dola Takatifu la Kiroma mpaka Mtaguso mkuu utakaporudisha utaratibu ndani ya Kanisa.

Lakini watawala waliomuunga mkono Luther walitoa hati ya pamoja inayoanza na maneno Protestamur, yaani Tunapinga.

Mwaka 1555 Amani ya Augsburg ilipitisha kauli ya kwamba cuius regio, eius religio, yaani kila raia anapaswa kufuata madhehebu ya eneo anamoishi, kadiri ilivyopangwa na mtawala wake, la sivyo ni lazima ahame.

Teolojia

Uprotestanti unagawanyika katika maelfu ya madhehebu tofauti, lakini inawezekana kutambua mambo kadhaa yanayolingana katika hayo yote:

Uenezi

Leo Waprotestanti wote duniani wanakadiriwa kuwa kati ya 800,000,000 na 1,000,000,000.

Tanbihi

Marejeo

  • Cook, Martin L. (1991). The Open Circle: Confessional Method in Theology. Minneapolis, Minn.: Fortress Press. xiv, 130 p. N.B.: Discusses the place of Confessions of Faith in Protestant theology, especially in Lutheranism. ISBN 0-8006-2482-3
  • Dillenberger, John, and Claude Welch (1988). Protestant Christianity, Interpreted through Its Development. Second ed. New York: Macmillan Publishing Co. ISBN 0-02-329601-1
  • McGrath, Alister E. (2007). Christianity's Dangerous Idea. New York: HarperOne. 
  • Nash, Arnold S., ed. (1951). Protestant Thought in the Twentieth Century: Whence & Whither? New York: Macmillan Co.
  • Noll, Mark A. (2011). Protestantism: A Very Short Introduction. Oxford: Oxford University Press. 

Viungo vya nje

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina dictionary definitions (word meanings):
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uprotestanti kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.