Tofauti kati ya marekesbisho "Makrina Mdogo"

Jump to navigation Jump to search
70 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
No edit summary
 
[[Image:Macrina the Younger.jpg|thumb|right|200px|Makrina Mdogo.]]
'''Makrina Mdogo''' ([[Kaisarea wa Kapadokia]] [[330]] hivi - [[Ponto]] [[369]]) alikuwa [[mwanamke]] [[mmonaki]], [[binti]] wa [[Bazili Mzee]] na [[Emelia wa Kaisarea]]. Alipewa [[jina]] hilo kwa [[heshima]] ya [[bibi]] yake, [[Makrina Mkubwa]], ambaye anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] pamoja na [[wajukuu]] wengine kama [[Bazili Mkuu]], [[Gregori wa Nisa]] na [[Petro wa Sebaste]].
 
Mwenyewe pia anaheshimiwa na [[madhehebu]] mbalimbali kama mtakatifu [[bikira]]. [[Sikukuu]] yake ni tarehe [[19 Julai]].
 
[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[19 Julai]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Sala yake==
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Marejeo==
* [http://www.tentmaker.org/biographies/macrina.htm Macrina the Younger]
* {{CathEncy|wstitle=St. Macrina the Younger}}
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Category:Waliozaliwa 324]]
[[Category:Waliofariki 379]]
[[Category:Wamonaki]]
[[Category:Watakatifu wa Uturuki]]
 
{{mbegu-Mkristo}}

Urambazaji