Marselino na Petro : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 10: Mstari 10:
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]



Pitio la 10:43, 1 Agosti 2019

Sanamu ya Mt. Marcellinus huko Seligenstadt.

Marselino na Petro[1] ni Wakristo wa karne ya 3 waliouawa mwaka 304 kwa ajili ya imani yao mjini Roma.

Maisha

Kuhusu maisha yao, hatuna habari nyingi za hakika. Marselino alikuwa padri, na Petro mzinguaji. Wote wawili waliuawa kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya Kaisari Diocletian dhidi ya Wakristo wa Dola la Roma.

Simulizi la kifodini chao la Papa Damas I ndilo chanzo cha kale zaidi juu yao. Damas alidai kwamba alipata habari kutoka kwa muuaji wao ambaye baadaye alijiunga na Kanisa[2][3]

Tazama pia

Tanbihi

  1. Alban Butler, Kathleen Jones, Paul Burns, Butler's Lives of the Saints (Continuum International Publishing Group, 1997), 14.
  2. Amore, Agostino (5 Nov 2008). "Santi Marcellino e Pietro". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo January 9, 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. ? (n.d.). "SS. Marcellinus and Peter". Eternal Word Television Network. Iliwekwa mnamo January 9, 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)

Vyanzo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: