Chuo Kikuu cha Dodoma : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21: Mstari 21:

Sambamba na Maono ya Nchi ya Maendeleo ya 2025, Chuo Kikuu cha Dodoma, kikishamalizika kamili, kitaweza kuwachukua wanafunzi 40,000 katika [[taaluma]] mbalimbali. Hii ni zaidi ya mara [[mbili]] ya ukubwa wa sasa wa [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]. Hata hivyo, chuo kikuu cha Dodoma bado kiko katika maendeleo. <ref> [http://www.sarua.org/?q=uni_University+of+Dodoma SARUA]</ref>

kilitangazwa kuwa chuo namba mbili (2) kwa ubora wa elimu nchini Tanzania machi 2018, kikitanguliwa na chuo kikuu cha Dar Es Salaam

== Marejeo ==
== Marejeo ==

Pitio la 14:57, 11 Aprili 2018

Chuo Kikuu cha Dodoma
University of Dodoma
WitoEmbracing Knowledge
Staff950
Wanafunzi26000
MahaliDodoma, Tanzania
Tovutihttp://www.udom.ac.tz/
UDOM.

Chuo Kikuu cha Dodoma (kifupisho chake ni UDOM) ni chuo kikuu ambacho bado kinajengwa mjini Dodoma, Tanzania. Ujenzi unafanyika katika kipande cha ardhi cha hekta 6,000 karibu na Dodoma, kilomita 400 magharibi kwa jiji la Dar es Salaam na kilomita 7 kutoka Dodoma mjini.

Mafunzo yalianza mwaka 2007, wakati wanafunzi zaidi ya , walijiunga na programu zilizotolewa katika vitivo vya Humanities, Sayansi ya Ujamaa, Elimu na 'Informatics and Virtual Education'. Vyuo vya Sayansi ya Maisha na Afya na Sayansi zinazolingana zilianzishwa mwaka.

Sambamba na Maono ya Nchi ya Maendeleo ya 2025, Chuo Kikuu cha Dodoma, kikishamalizika kamili, kitaweza kuwachukua wanafunzi 40,000 katika taaluma mbalimbali. Hii ni zaidi ya mara mbili ya ukubwa wa sasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hata hivyo, chuo kikuu cha Dodoma bado kiko katika maendeleo. [1]

kilitangazwa kuwa chuo namba mbili (2) kwa ubora wa elimu nchini Tanzania machi 2018, kikitanguliwa na chuo kikuu cha Dar Es Salaam

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.