Laurenti wa Frazzanò
Mandhari
Laurenti wa Frazzanò (Frazzanò, Sicilia, 22 Oktoba 1120 - Frazzanò, 30 Desemba 1162) tangu ujanani alikuwa mmonaki padri wa Ukristo wa Mashariki katika Italia ya leo.
Aling'aa kwa ugumu wa maisha na kwa bidii isiyokubali kuchoka katika kuhubiri [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
.