Kilimo nchini Nigeria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilimo Nchini Nigeria ni sehemu ya uchumi nchini Nigeria ambao unatoa asilimia 35 za ajira zote kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2020[1] kama ilivyotolewa taarifa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO),[2] Kilimo kimebaki kuwa msingi wa uchumi nchini Nigeria: licha ya uwepo wa mafuta katika taifa hilo, na kilimo ni chanzo kikuu cha riziki kwa watu wengi nchini.

Sekta ya Kilimo nchini Nigeria imeundwa na sekta nne ambazo ni kilimo chenyewe, uvuvi, misitu na ufugaji.

Nigeria ina eneo la hekta za mraba milioni 70.8 kwa ajili ya kilimo, eneo la Able likiwa na ukubwa wa hekari milioni 34, hekari milioni 6.5 ni kwa ajili ya mazao ya kudumu, hekari milioni 30.3 kwa ajili ya majani na malisho. Kaya nyingine nchini Nigeria zimekuwa zikijihusisha na uvuvi, ambapo asilimia 69.3 ya kaya nyingine wanajihusisha na ufugaji Kaskazini Magharibi mwa Nigeria.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Employment in agriculture (% of total employment) (modeled ILO estimate) - Nigeria". Work Bank Data. World Bank. 2020. Iliwekwa mnamo 24 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Nigeria at a glance | FAO in Nigeria | Food and Agriculture Organization of the United Nations". www.fao.org. Iliwekwa mnamo 2020-11-24. 
  3. "Topic: Agriculture in Nigeria". Statista (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-12. 
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilimo nchini Nigeria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.