Kigaeli cha Uskoti
Mandhari
Kigaeli cha Uskoti (kwa lugha hiyo: Gàidhlig) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya.[1]
Wanaoijua ni watu 60,000 hivi, hasa nchini Uskoti, lakini pia Kanada.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gaelic History". www.highland.gov.uk (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-03.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigaeli cha Uskoti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |