Karne ya 18 KK
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 3 KK |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
►
◄ |
Karne ya 20 KK |
Karne ya 19 KK |
Karne ya 18 KK |
Karne ya 17 KK |
Karne ya 16 KK |
►
Karne ya 18 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1800 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1701 KK.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Waiksos kutoka Asia Magharibi wanahamia Misri kwenye delta ya mto Naili
- Watu wa Ulaya Mashariki wanaelekea kusini upande wa Asia hadi India
- Ustaarabu wa bonde la Mto Indus (leo Pakistan) unaangamizwa na wavamizi kutoka Ulaya Mashariki
- Babuloni unakuwa mji mkubwa kuliko yote duniani
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Hammurabi mtawala wa Mesopotamia (1792 KK - 1750 KK hivi)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 18 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |