Karne ya 20 KK
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 3 KK |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
►
◄ |
Karne ya 22 KK |
Karne ya 21 KK |
Karne ya 20 KK |
Karne ya 19 KK |
Karne ya 18 KK |
►
Karne ya 20 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 2000 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1901 KK.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- Wafugaji na wakulima kutoka Ethiopia wanaelekea kusini na kuingia Kenya ya leo
- Kuwasili kwa mababu wa Walatini katika Italia.
- Mji wa Mantua ulikuwa unaanzishwa.
- Mnara wa Uingereza Stonehenge unaaminika ulikuwa unakamilika.
- Farasi walifugwa na walitumika kwa ajili ya usafiri.
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 20 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |