Karne ya 18
Mandhari
(Elekezwa kutoka Karne XVIII)
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 16 |
Karne ya 17 |
Karne ya 18
| Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
Miaka ya 1700 |
Miaka ya 1710 |
Miaka ya 1720 |
Miaka ya 1730 |
Miaka ya 1740 |
Miaka ya 1750 |
Miaka ya 1760 |
Miaka ya 1770 |
Miaka ya 1780 |
Miaka ya 1790
Watu na matukio
[hariri | hariri chanzo]
- 1701 - 1714 Vita vya kurithi ufalme wa Hispania
- 1733 - 1739 Vita vya kurithi ufalme wa Polandi
- 1741 - 1748 Vita vya kurithi ufalme wa Austria
- 1756 - 1763 Vita vya miaka saba
- 1776 - 1783 Mapinduzi ya Kimarekani
- 1787 Katiba ya Marekani
- 1789 Mapinduzi ya Kifaransa
- Inaanza migahawa kama mahali pa kubadilishana fikra na elimu
- Falsafa ya mianga inaenea Ulaya; inaanzishwa Encyclopédie (Kamusi elezo)
- Napoleon, jenerali wa Ufaransa, halafu Kaisari
- Johann Wolfgang von Goethe, Mjerumani mshairi
- Alessandro Volta, Mwitalia mwanasayansi
- James Cook, Mwingereza mvumbuzi
- Benjamin Franklin, Mmarekani mwanasayansi na mwanasiasa
- George Washington, rais wa kwanza wa Marekani
- Immanuel Kant (Königsberg, 1724 - 1804), Mjerumani mwanafalsafa
- Adam Smith, Mskotland mchumi
- Wolfgang Amadeus Mozart (Salzburg, 1756 - Vienna, 1791), Mwaustria mwanamuziki
- Jean-Jacques Rousseau (Geneva, 1712 - Ermenonville, 1778), Mwanafalsafa
- Wazungu wanafikia Australia