Salzburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Miongoni mwa picha za mjini hapa.

Salzburg ni jina la kutaja mji wa jimbo la Austria la Salzburg au Salzburgerland. Idadi ya wakazi ya mjini imekadiriwa kufikia takriban watu 150,000. Huu ni mji mashuhuri kwa sababu mtunzi wa muziki na opera Wolfgang Amadeus Mozart alizaliwa hapa.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Salzburg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.