Karne ya 1
Mandhari
(Elekezwa kutoka Karne I)
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 2 KK |
Karne ya 1 KK |
Karne ya 1
| Karne ya 2
| Karne ya 3
| ►
Miaka ya 0 |
Miaka ya 10 |
Miaka ya 20 |
Miaka ya 30 |
Miaka ya 40 |
Miaka ya 50 |
Miaka ya 60 |
Miaka ya 70 |
Miaka ya 80 |
Miaka ya 90
Karne ya 1 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1 na 100. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 1 B.K. na kuishia 31 Desemba 100. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.
Karne ya Ukristo kuanza
[hariri | hariri chanzo]- Dola la Roma linafurahia amani iliyopatikana kuanzia utawala wa Kaisari Augusto
- Yesu Kristo, akitanguliwa na Yohane Mbatizaji, anahubiri na kuuawa katika nchi ya Palestina
- Dini mpya ya Ukristo inaanza na kuenea haraka hadi Ulaya magharibi na labda India kusini
- 50-100 hivi: Vitabu vya Agano Jipya vinaandikwa
- 70 Maangamizi ya Yerusalemu na hekalu lake
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Maria wa Nazareti, mama wa Yesu
- Yohane Mbatizaji (7 KK-29), nabii wa Israeli katika bonde la mto Yordani
- Yesu Kristo (6 KK-30), anayesadikiwa na Wakristo kuwa Mwana wa Mungu
- Mtume Petro na wenzake 11 walioteuliwa na Yesu
- Mtume Paulo, nabii na mwenezaji mkuu wa Ukristo
Karne: Karne ya 1 |
Miongo na miaka |
Muongo wa kwanza | 1 2 3 4 5 6 7 8 9 |
Miaka ya 10 | 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 |
Miaka ya 20 | 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 |
Miaka ya 30 | 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 |
Miaka ya 40 | 40 41 42 43 44 45 46 47 48 49 |
Miaka ya 50 | 50 51 52 53 54 55 56 57 58 59 |
Miaka ya 60 | 60 61 62 63 64 65 66 67 68 69 |
Miaka ya 70 | 70 71 72 73 74 75 76 77 78 79 |
Miaka ya 80 | 80 81 82 83 84 85 86 87 88 89 |
Miaka ya 90 | 90 91 92 93 94 95 96 97 98 99 |