Kaptura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Skauti huwa wamevaa kaptura kama sehemu ya sare yao.

Kaptura ni vazi lililovaliwa na wanaume na wanawake juu ya eneo la nyonga yao, likizunguka kiuno na kugawanyika ili kufikia sehemu ya juu ya miguu, wakati mwingine hupanda magoti lakini si kufunika urefu mzima wa mguu.

Ni toleo la kufupishwa kwa suruali, ambalo hufunika mguu mzima, ndiyo sababu kwa Kiingereza huitwa "shorts". Kwa kawaida huvaliwa katika hali ya hewa ya joto au katika mazingira ambapo faraja na mtiririko wa hewa ni muhimu kuliko ulinzi wa miguu.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaptura kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.