Kiuno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro unaoonyesha eneo la kiuno katika kiunzi cha mifupa cha binadamu.

Kiuno ni sehemu ya mwili kati ya fumbatio na manyonga. Hivyo inapatikana upande wa nyuma wa mwili, chini ya mgongo.

Maumivu ya kiuno ni tatizo la kawaida na lenye gharama.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuno kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.