Nyonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mifupa ya nyonga ya binadamu.

Nyonga ni sehemu ya mwili iliyo katikati ya kiuno na paja.

Ni pia jina la mfupa wa kiuno.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyonga kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.