Joseph Bilczewski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha halisi ya Mt. Józef Bilczewski.

Josef Bilczewski (26 Aprili 186020 Machi 1923) alikuwa askofu mkuu wa Lviv (leo nchini Ukraina) kuanzia mwaka 1900 hadi kifo chake.[1][2][3]

Bilczewski alisaidia watu kwa kila namna wakati wote wa Vita vikuu vya kwanza, akajaribu kupatanisha Wapolandi na Waukraina waliochukiana na kupigana, akaendelea baada ya Wakomunisti kuteka nchi hizo mbili.[1][3]

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 26 Juni 2001 halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 23 Oktoba 2005.[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Saint Jósef Bilczewski. Saints SQPN (17 March 2017). Retrieved on 8 April 2017.
  2. 2.0 2.1 Saint Josef Bilczewski. Santi e Beati. Retrieved on 8 April 2017.
  3. 3.0 3.1 Joseph Bilczewski (1860-1923). Holy See. Retrieved on 8 April 2017.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Bilczewski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.