John Maron

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mt. Yohane Maroni.

John Maron' (kwa Kiarabu يوحنا مارون, Yuhanna Marun) alizaliwa mwaka 628.

Baada ya kuwa mmonaki wa monasteri ya Mtakatifu Maroni, mwaka 676 alipewa uaskofu, halafu akawa askofu mkuu wa mji wa Antiokia kuanzia 685 hadi 707 alipofariki.

Aliongoza Kanisa la Wamaroni kama Patriarki wake wa kwanza.

Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 2 Machi kila mwaka.

Maandishi[hariri | hariri chanzo]

  • Michel Breydy, Jean Maron. Expose de la foi et autres opuscules. Syr. 209. CSCO (Corpus Scriptorum Christianorum Orientalium), Peeters, Louvain 1988

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Maron kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.