Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Malava

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Malava)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Malava ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Kakamega, Magharibi mwa nchi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Joshua Mulanda AngatiaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1990MN. S. AnaswaKANUUchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja.
1992Joshua Mulanda AngatiaKANU
1997Soita ShitandaFord-K
2002Soita ShitandaNARC
2007Soita ShitandaNew Ford Kenya
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili Utawala wa Mitaa
Chemuche5,324Malava (Mji)
Butali3,966Malava (Mji)
Chegulo5,280Kakamega county
Mahira4,711Malava (Mji)
Mugai4,256Malava (Mji)
Shivanga8,124Kakamega county
South Kabras Rural13,078Kakamega county
West Kabras / Shirugu10,580Kakamega county
Jumla55,319
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]