Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Malava

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Malava ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Kakamega, Magharibi mwa nchi.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Joshua Mulanda Angatia KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1990 MN. S. Anaswa KANU Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja.
1992 Joshua Mulanda Angatia KANU
1997 Soita Shitanda Ford-K
2002 Soita Shitanda NARC
2007 Soita Shitanda New Ford Kenya
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili Utawala wa Mitaa
Chemuche 5,324 Malava (Mji)
Butali 3,966 Malava (Mji)
Chegulo 5,280 Kakamega county
Mahira 4,711 Malava (Mji)
Mugai 4,256 Malava (Mji)
Shivanga 8,124 Kakamega county
South Kabras Rural 13,078 Kakamega county
West Kabras / Shirugu 10,580 Kakamega county
Jumla 55,319
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]