Jimbo la Uchaguzi la Imenti Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Imenti Kaskazini ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo matatu ya Wilaya ya Imenti ya Kati. Mbunge wake wa sasa ni Silas Muriuki.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa kwa uchaguzi wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo zaidi
1988 Jackson Harvester Angaine KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Daudi Mwiraria DP
1997 Daudi Mwiraria DP
2002 Daudi Mwiraria NARC
2007 Silas Muriuki Mazingira

Wodi za udiwani[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliosajiliwa
Cathedral 3,242 Munisipali ya Meru
Central 3,095 Munisipali ya Meru
Chugu 9,576 Meru Central County
Commercial 3,281 Munisipali ya Meru
Gakoromone 3,189 Munisipali ya Meru
Giaki 6,368 Meru Central County
Hospital 3,606 Munisipali ya Meru
Kaaga 4,254 Munisipali ya Meru
Kiirua 10,848 Meru Central County
Kirimara 9,101 Meru Central County
Kisima 6,201 Meru Central County
Milimani 2,891 Munisipali ya Meru
Mwendantu 2,271 Munisipali ya Meru
Ntakira 9,913 Meru Central County
Ontulili 4,882 Meru Central County
Ruiri 7,629 Meru Central County
Stadium 4,975 Munisipali ya Meru
Thuura 7,179 Meru Central County
Jumla 102,501
*Septemba 2005
[2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Silas Muriuki Daudi Mwiraria

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]