Mlayoka
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ipomoea kituiensis)
Mlayoka (Ipomoea kituiensis) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mlayoka au mruo (Ipomoea kituiensis) ni mmea wa familia Convolvulaceae unaotokea nchini Uhabeshi, Kenya, Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe. Mmea huu una maua meupe hadi njano yenye moyo mweusi. Katika Kenya unyweshaji wa mizizi hunywa na Wajaluo dhidi ya maumivu ya tumbo.
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mlayoka kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |