Ignition (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“Ignition (Remix)”
“Ignition (Remix)” cover
Single ya R. Kelly
kutoka katika albamu ya Chocolate Factory
B-side "Apologies of a Thug",
"What Do I Do"
Imetolewa 30 Aprili 2003
Imerekodiwa 2002
Aina Pop, R&B
Urefu 3:09
Studio Jive
Mtunzi R. Kelly
Mtayarishaji R. Kelly
Certification Gold (UK & Australia)
Mwenendo wa single za R. Kelly
"Honey"
(2002)
"Ignition (Remix)"
(2003)
"Snake"
(2003)

"Ignition (Remix)" (pia huitwa kwa kifupi kama "Ignition") ni wimbo uliotungwa na kutayarishwa na mwimbaji wa R&B R. Kelly. Wimbo huu umeingizwa kwenye albamu yake ya mwaka wa 2003 ya Chocolate Factory. Ulitazamiwa kama moja kati ya alama ya nyimbo zake na ulikuwa maarufu sana nchini Marekani na huko barani Ulayas.

Wimbo uliorodheswa katika nafasi ya #19 kwenye ya nyimbo bora 500 za miaka ya 2000 za Pitchfork.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati Nafasi
iliyoshika
Australia ARIA Singles Chart 1
New Zealand RIANZ Singles Chart 1
UK Singles Chart 1
U.S. Billboard Hot 100 2Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ignition (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.