If I Could Turn Back the Hands of Time

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“If I Could Turn Back the Hands of Time”
“If I Could Turn Back the Hands of Time” cover
Single ya R. Kelly
kutoka katika albamu ya R.''
Imetolewa 1999
Muundo CD single, cassette single
Imerekodiwa 1998
Aina Soul/R&B ballad
Urefu 6:18 (toleo la albamu na single)
4:57 (haririo la redio)
Mtunzi R. Kelly
Mtayarishaji R. Kelly
Mwenendo wa single za R. Kelly
"Did You Ever Think"
(1999)
"If I Could Turn Back the Hands of Time"
(1999)
"I Wish"
(2000)

"If I Could Turn Back the Hands of Time" ni wimbo wa R. Kelly, ulitolewa ukiwa kama wimbo wa tano kutoka katika albamu yake ya mwaka wa 1998, R.. Wimbo una mandhari ya ballad la kimapenzi lenye kumuhusu mtu mmoja anayetamani aurejesha muda uliopita ili kukarabati uhusiano wake na mpenzi wake. Wimbo ulikuwa kibao kikali kwenye kumi bora za nchi kadhaa, wakati huko Marekani iliishia kwenye kumi bora tu, yaani, nafasi ya 12 na kisha baadaye kuondoka zake.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1999) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 12
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 5
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary 24
UK Singles Chart 2
Canada Singles Chart 8
Dutch Singles Chart 1
Belgian Flanders Singles Chart 1
Belgian Walonia Singles Chart 1
French Singles Chart 2
German Singles Chart 2
Swedish Singles Chart 3
Norwegian Singles Chart 9
Italian Singles Chart 20
Austrian Singles Chart 2
Swiss Singles Chart 1
New Zealand RIANZ Singles Chart 39Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu If I Could Turn Back the Hands of Time kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.