Hera
Mandhari
Hera | |
---|---|
Malkia wa miungu Mungu wa Kike wa Ndoa na Wanawake | |
Makao | Mlima Olimpos |
Alama | Komamanga, Tausi, Nyoya na Taji |
Mwenzi | Zeu |
Wazazi | Krono na Rea |
Ndugu | Hestia, Hade, Zeu, Poseidoni, Demetra, Khironi |
Watoto | Ares, Enyo, Heba, Eileithia, Hefaisto, Eris |
Ulinganifu wa Kirumi | Juno |
Hera (Kigiriki Ἥρα, Hēra, au kwa Kiionia na Kihomeri: Ἥρη, Hērē) alikuwa dada na mke wa mfalme wa miungu Zeu na mungu wa kike wa ndoa na wanawake katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Juno katika dini ya Roma ya Kale.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |