Grace Akello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Grace Akello.

Grace Akello (alizaliwa mwaka 1950) ni mshairi, mwandishi wa insha na mwanasiasa toka nchi ya Uganda[1], pia ni balozi wa Uganda nchini India [2][3]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Grace Akello alizaliwa karibu na Soroti, na kupata elimu yake katika chuo kikuu cha Makerere University, Kampala.

Mwaka 1979, aliwahi kuishi nchini Tanzania kama mkimbizi baada ya kuikimbia nchi yake ya Uganda wakati wa utawala wa Idi Amin.

Kazi Zake[hariri | hariri chanzo]

  • Iteso Thought Patterns in Tales, 1975
  • My Barren Song. Dar es Salaam, Tanzania: Eastern African Publications, 1979
  • Self Twice-Removed: Ugandan Woman, London: Change International Reports, 1982

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Akello alifunga ndoa mwaka 1983. Yeye pamoja na mume wake wana watoto wanne ambao wanaishi nchini Kenya.[1]

ona zaidi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Umeh, Marie (2001). "Akello, Grace". Katika Miller, Jane Eldridge. Who's Who in Contemporary Women's Writing (toleo la 1st). Routledge. ku. 6–7. ISBN 0415159806. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-06. Iliwekwa mnamo 2020-04-26. 
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-06. Iliwekwa mnamo 2020-04-26. 
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Akello kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.