Frances Cabrini
Mandhari
(Elekezwa kutoka Fransiska Saverio Cabrini)
Fransiska Saviera Cabrini (Sant'Angelo Lodigiano, Italia, 15 Julai 1850 – Chicago, Illinois, Marekani, 22 Desemba 1917) alikuwa mwanzilishi wa shirika la Masista Wamisionari wa Moyo Mtakatifu (kwa Kiingereza Missionary Sisters of the Sacred Heart).
Jumuiya hiyo ilianzia Italia na kufanya kazi hasa Marekani kati ya wahamiaji kwa kujenga shule, hospitali na nyumba kwa watoto yatima kwa kufuata mfano wake aliyejitoa kwa kila namna kuhudumia wahamiaji kwa upendo mkubwa ajabu [1].
Mwaka 1946 Mama Cabrini alitangazwa kuwa mtakatifu akiwa raia Mmarekani wa kwanza kupewa heshima hiyo.
Sikukuu yake ni tarehe 22 Desemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Biography at mothercabrini.org Ilihifadhiwa 19 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine.
- St. Frances Xavier Cabrini Shrine; in New York, N.Y.
- Mother Cabrini High School in Manhattan Ilihifadhiwa 6 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Mother Cabrini Shrine; in Golden, Colorado
- Cabrini Mission Foundation
- Cabrini College
- Cabrini High School in New Orleans, LA
- St. Cabrini Nursing Home in Dobbs Ferry, NY Ilihifadhiwa 29 Mei 2010 kwenye Wayback Machine.
- St. Cabrini Home in West Park, NY
- St. Frances Cabrini Parish in Allen Park, MI
- St. Frances Xavier Cabrini
- Founder Statue in St Peter's Basilica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |