End of the Road

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“End of the Road”
“End of the Road” cover
Kaseti ya single ya kibiashara iliyotolewa nchini Marekani
Single ya Boyz II Men
kutoka katika albamu ya Boomerang (kibwagizo) Kigezo:Noitalic Cooleyhighharmony (Reissue)
B-side Remix
Imetolewa Juni 30, 1992 (1992-06-30)
Muundo
Aina R&B
Urefu 5:48
Studio
Mtunzi
Mtayarishaji
  • Kenneth "Babyface" Edmonds
  • Antonio "L.A." Reid
  • Daryl Simmons (co.)
Mwenendo wa single za Boyz II Men
"Please Don't Go"
(1992)
"End of the Road"
(1992)
"In the Still of the Nite (I Remember)"
(1992)
Video ya muziki
"End of the Road" katika YouTube

"End of the Road" ni wimbo uliorekodiwa na kundi la muziki wa R&B kutoka nchini Marekani Boyz II Men kwa ajili ya kibwagizo cha filamu ya Boomerang. Wimbo umetoka mwaka wa 1992, kutungwa na kutayarishwa na Kenneth "Babyface" Edmonds, L.A. Reid na Daryl Simmons.

"End of the Road" ulipata mafanikio ya juu hakuna mfano kwa Marekani na kimataifa na huhesabiwa kuwa moja kati ya nyimbo bora za R&B za muda wote. Huko Marekani, "End of the Road" ulitamba kwa majuma 13 katika chati za Billboard Hot 100. Rekodi hii ilikuwa kuvunja mwaka uliofuata na Whitney Houston kwa kukaa majuma 14 katika nafasi ya kwanza kwa kibao chake cha "I Will Always Love You"; Boyz II Men baadaye wakamrudishia rekodi ya Houston kwa kibao chao cha "I'll Make Love to You", ambacho nacho kilitamba kwa majuma 14 kwenye chati hizo mnamo mwaka wa 1994. Haijatosha, wakavunja tena rekodi yao wenyewe na kibao cha "One Sweet Day" (walichoimba pamoja na Mariah Carey), ambacho kilidumu majuma 16 nafasi ya kwanza kwenye chati hizo kuanzia mwaka 1995 hadi 1996.

"End of the Road" ulikuwa wimbo uliochukua nafasi ya kwanza kwa mwaka 1992 kwenye chati za Billboard Year-End Hot 100 Singles of 1992. Umepewa nafasi ya sita kama wimbo wenye mafanikio na jarida la Billboard kwa miaka ya 1990–1999.[1] Vilevile umepewa nafasi ya 50 kwenye Billboard katika orodha yao ya "Nyimbo Bora 100 za Muda Wote".[2]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Europe/UK/Australia CD

  1. End of the Road (Pop Edit) 3:39
  2. End of the Road (Radio Edit w/ Acapella End) 4:13
  3. End of the Road (LP Version) 5:50
  4. End of the Road (Instrumental) 5:16

7" single

  1. "End of the Road" (pop edit) — 3:39
  2. "End of the Road" (instrumental version) — 5:16

Cassette single

  • A side: End of the Road (LP Version)
  • B side: End of the Road (Instrumental Version)

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati za kila wiki[hariri | hariri chanzo]

Illegal chart entered Germany2|6 Illegal chart entered UKsinglesbyname|1 Illegal chart entered Billboardrhythmic|1
Chati (1992–93) Nafasi
iliyoshika
Australia (ARIA)[3] 1
Austria (Ö3 Austria Top 75)[4] 19
Belgium (Ultratop 50 Flanders)[5] 3
Canadian Singles Chart 3
Europe (Eurochart Hot 100)[6] 1
France (SNEP)[7] 7
Irish Singles Chart[8] 1
Netherlands (Dutch Top 40)[9] 1
Netherlands (Mega Single Top 100)[10] 1
New Zealand (RIANZ)[11] 1
Norway (VG-lista)[12] 3
Sweden (Sverigetopplistan)[13] 2
Switzerland (Schweizer Hitparade)[14] 7
US Billboard Hot 100[15] 1
US Hot R&B/Hip-Hop Songs (Billboard)[16] 1
US Pop Songs (Billboard)[17] 1

Chati za mwishoni mwa mwaka[hariri | hariri chanzo]

Chati (1992) Nafasi
Australian Singles Chart[18] 3
Dutch Top 40[19] 9
Europe (Eurochart Hot 100)[20] 23
New Zealand (Recorded Music NZ)[21] 4
UK Singles Chart 6
U.S. Billboard Hot 100[22] 1
Chart (1993) Position
New Zealand (Record Music NZ)[23] 38

Chati za mwishoni mwa muongo[hariri | hariri chanzo]

Chati (1990–1999) Nafasi
U.S. Billboard Hot 100[1] 6

Tunukio[hariri | hariri chanzo]

Nchi Tunukio Tarehe Mauzo yaliyothibitishwa
UK[24] Gold November 1, 1992 400,000
U.S.[25] Platinum December 9, 1992 1,000,000+

|}

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Geoff Mayfield (December 25, 1999). 1999 The Year in Music Totally '90s: Diary of a Decade - The listing of Top Pop Albums of the '90s & Hot 100 Singles of the '90s. Billboard. Iliwekwa mnamo October 15, 2010.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Hot 100 55th Anniversary: The All-Time Top 100 Songs". Billboard.com. Iliwekwa mnamo 2014-11-28. 
  3. "Australian-charts.com – Boyz II Men – End of the Road". ARIA Top 50 Singles. Hung Medien.
  4. "Boyz II Men – End of the Road Austriancharts.at" (in German). Ö3 Austria Top 40. Hung Medien.
  5. "Ultratop.be – Boyz II Men – End of the Road" (in Dutch). Ultratop 50. Ultratop & Hung Medien / hitparade.ch.
  6. Billboard - Google Books
  7. "Lescharts.com – Boyz II Men – End of the Road" (in French). Les classement single. Hung Medien.
  8. Irish Single Chart Irishcharts.ie Archived 29 Septemba 2018 at the Wayback Machine. (Retrieved April 7, 2008)
  9. "Nederlandse Top 40 – Boyz II Men - End Of The Road search results" (in Dutch) Dutch Top 40. Stichting Nederlandse Top 40. Retrieved September 12, 2016.
  10. "Dutchcharts.nl – Boyz II Men – End Of The Road" (in Dutch). Mega Single Top 100. Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved September 12, 2016.
  11. "Charts.org.nz – Boyz II Men – End of the Road". Top 40 Singles. Hung Medien.
  12. "Norwegiancharts.com – Boyz II Men – End of the Road". VG-lista. Hung Medien.
  13. "Swedishcharts.com – Boyz II Men – End of the Road". Singles Top 60. Hung Medien.
  14. "Boyz II Men – End of the Road swisscharts.com". Swiss Singles Chart. Hung Medien.
  15. ERROR: Billboard chart was invoked without providing an artist id. Artist id is a mandatory field for this call."Boyz II Men Album & Song Chart History" Billboard Hot 100 for Boyz II Men. Prometheus Global Media. Retrieved June 17, 2017.
  16. ERROR: Billboard chart was invoked without providing an artist id. Artist id is a mandatory field for this call."Boyz II Men Album & Song Chart History" Billboard R&B/Hip-Hop Songs for Boyz II Men. Prometheus Global Media. Retrieved June 17, 2017.
  17. ERROR: Billboard chart was invoked without providing an artist id. Artist id is a mandatory field for this call."Boyz II Men Album & Song Chart History" Billboard Pop Songs for Boyz II Men. Prometheus Global Media. Retrieved June 17, 2017.
  18. 1992 Australian Singles Chart aria.com Archived Julai 28, 2010, at the Wayback Machine (Retrieved August 2, 2008)
  19. "Single top 100 over 1992" (pdf) (kwa Dutch). Top40. Iliwekwa mnamo 14 April 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  20. Billboard - Google Books
  21. "End of Year Charts 1992". Recorded Music NZ. Iliwekwa mnamo December 3, 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  22. "Billboard Top 100 - 1992". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2009-09-15. 
  23. "End of Year Charts 1993". Recorded Music NZ. Iliwekwa mnamo December 3, 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  24. "UK certifications, database". Bpi. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 January 2010. Iliwekwa mnamo 14 April 2010.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5mr0Evm3j?url= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  25. RIAA Gold & Platinum Searchable Database - "End of the Road". RIAA.com. Retrieved October 27, 2009)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Boomerang soundtrack