Shawn Stockman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shawn Stockman
Stockman mnamo Januari 2012
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaShawn Patrick Stockman
Amezaliwa26 Septemba 1972 (1972-09-26) (umri 51)[1]
Kazi yake
  • Mwimbaji
  • mtunzi wa nyimbo
  • mtayarishaji wa rekodi
Ala
  • Sauti
  • kinanda
  • gitaa
Miaka ya kazi1988–hadi sasa
Studio
Ameshirikiana na
Wavutiboyziimen.com

Shawn Patrick Stockman[2][3] (amezaliwa 26 Septemba, 1972) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa mmoja kati ya wanachama waanzilishi wa kundi zima la muziki wa R&B kutoka nchini Marekani maarufu kama Boyz II Men.[4] Vilevile aliwahi kuwa jaji katika kipindi cha televisheni maarufu cha The Sing-Off.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Home : Boyz II Men". BoyzIIMen.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-02. Iliwekwa mnamo April 29, 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Shawn Stockman Biography". biography. biography.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-02. Iliwekwa mnamo 5/1/2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Shawn Stockman Biography". biography. tvguide.com. Iliwekwa mnamo 5/1/2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Shawn Stockman". Boyz II Men Official website. Iliwekwa mnamo 14 July 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:US-RnB-singer-stub