DStv

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Dstv)
DStv.

DStv (kifupi cha: Digital Satellite Television) ni kampuni ya kutangaza huduma za satelaiti inayomilikiwa na MultiChoice.

Huduma hiyo ilizinduliwa mwaka 1995 na hutoa huduma nyingi kwa wanachama wao, ambao kwa sasa ni idadi ya karibu milioni 11.9. Wengi wa wanachama wako Afrika Kusini, Nigeria, Kenya, Ghana, Angola, Zimbabwe, Zambia, Uganda, Mauritius, Msumbiji, Tanzania, Lesotho, Ethiopia, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Gabon, Eswatini na Botswana ambayo pia inahudumiwa na kampuni hiyo.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DStv kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.