David Kairys
David Kairys (amezaliwa 16 Aprili, 1943, huko Baltimore Maryland,[1] ni Profesa wa Sheria katika chuo kikuu cha Sheria kiitwacho Temple University School of Law.[2] Ndiye Mwenyekiti wa kwanza wa James E. Beasley (2001–07). Kairys ni mwanasheria wa haki za kiraia. Aliandika Uhuru wa Philadelphia, Kumbukumbu za Mwanasheria wa Haki za Kiraia pamoja na Uhuru na Haki kwa Baadhi ya watu. Yeye ni mtetezi wa udhibiti wa bunduki.[3][4] Pia ni mtetezi mkubwa wa kuondoa ufisadi wa pesa kwenye siasa.[5]
Kairys alipata B.S. kutoka Chuo Kikuu cha Cornell (1965), LL.B. kutoka Shule ya Sheria ya Columbia (1968), na LL.M. kutoka Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Pennsylvania (1971). [6]Yeye ni mmbobezi wa sheria za kikatiba na sheria za haki za kiraia. Alikuwa mshirika mwanzilishi na mshauri wa Kairys, Rudovsky, Epstein, Messing na Rau.[7]
Miongoni mwa tuzo zake ni pamoja Muungano wa Haki, orodha ya heshima kwa 2008, Chama cha Shule za Sheria za Marekani 2007, Tuzo za Deborah Rhode kwa mchango wenye manufaa kwa maslahi ya umma kutoka kwa profesa wa sheria, Tuzo za Umoja wa Uhuru kwa raia wa Marekani za Pennsylvania,Tuzo za Pro Bono kwa Klabu masikini ya Richard ya Philadelphia , tuzo ya Freil-Scanlan (msomi bora wa kitivo cha sheria), na Mwenyekiti wa Kwanza wa James E. Beasley ((Temple Law School).[8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Temple University Beasley School of Law". web.archive.org. 2011-06-16. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-16. Iliwekwa mnamo 2022-08-02.
- ↑ By WILLIAM BENDER, <a href="mailto:benderw@phillynews.com">benderw@phillynews.com</a> 215-854-5255. "Spying on L. Merion students sparks probes by FBI, Montco detectives". https://www.inquirer.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-02.
{{cite web}}
: External link in
(help)CS1 maint: numeric names: authors list (link)|work=
- ↑ "NRA Eyes More Targets After D.C. Gun-Ban Win". NPR.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-02.
- ↑ Dao, James (2000-03-18), "UNDER LEGAL SIEGE, GUN MAKER AGREES TO ACCEPT CURBS", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-08-02
- ↑ David Kairys (2010-01-22). "The misguided theories behind Citizens United v. FEC". Slate Magazine (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-02.
- ↑ "Redirecting..." heinonline.org. Iliwekwa mnamo 2022-08-02.
{{cite web}}
: Cite uses generic title (help) - ↑ Kairys, David (1998). The politics of law : a progressive critique. Georgetown University Law Library. New York : Basic Books. ISBN 978-0-465-05959-1.
- ↑ "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2010-06-26. Iliwekwa mnamo 2022-08-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Kairys kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |