Mkiwano
Mandhari
(Elekezwa kutoka Cucumis metulifer)
Mkiwano (Cucumis metulifer) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mkiwano uliotoa tunda
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mkiwano au mgakachika (Cucumis metulifer) ni mmea mtambaa wa familia Cucurbitaceae. Matunda yake, yaitwayo kiwano au gakachika, yamekuwa yanapendwa tangu miaka 1980 kwa ajili ya athari nzuri kwa afya. Asili yake ni Jangwa la Kalahari lakini siki hizi hukuzwa nchini Nyuzilandi, Australia, Chili, Italia, Marekani, Ujerumani na Ureno.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Ua
-
Majani na kiwano changa
-
Kiwano bivu
-
Kiwano iliyokatwa
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkiwano kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |