Chombo cha usafiri kwenye maji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chombo cha majini)
Jump to navigation Jump to search

Chombo cha majini au chombo cha usafiri kwenye maji ni kitu kinachotumiwa kusafiria kwenye maji kama vile baharini, mtoni au ziwani. Vyombo hivi vinapatikana vidogo na vikubwa vikiitwa mtumbwi, boti, mashua, mtepe, jahazi au meli.

Vyombo vya maji vinatofautishwa pia kutokana na jinsi zinavyoenbdeshwa majini, kwa mfano

Kihistoria vyombo vya majini vilitengenezwa hasa kwa kutumia ubao au pia mata kavu nyingine kama matete. Tangu karne ya 19 metali hasa chuma kilitumiwa kilichoruhusu kujenga meli kubwa.

Katika karne ya 20 mara nyingi aina za plastiki mara nyingi zilichukua nafasi ya ubao kwa vyombo vya majini vidogo zaidi.