Mtumbwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtu wa Australia akiendesha mtumbwi.

Mtumbwi ni chombo kilichotengenezwa kutokana na kigogo cha mti ambacho kina shimo na hakina mkuku, lakini kina tezi na omo kama mashua.

Mtumbwi hutumika zaidi katika usafiri wa masafa mafupi, kama vile kuvuka mto.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtumbwi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.