Nenda kwa yaliyomo

Carlos Salcedo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carlos Salcedo
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaMexiko Hariri
Nchi anayoitumikiaMexiko Hariri
Jina katika lugha mamaCarlos Salcedo Hariri
Jina halisiCarlos Hariri
Jina la familiaSalcedo Hariri
Tarehe ya kuzaliwa29 Septemba 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaChicas Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
Muda wa kazi2013 Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoReal Salt Lake, C.D. Guadalajara, Mexico national under-23 football team, Mexico national football team, ACF Fiorentina Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji13 Hariri
Ameshirikifootball at the 2016 Summer Olympics, Kombe la Dunia la FIFA 2018, 2019 CONCACAF Gold Cup Hariri
LigiBundesliga, Major League Soccer Hariri
Carlos Salcedo
Mexico kwenye kombe la dunia 2018-06-23

Carlos Salcedo Hernández (alizaliwa 29 Septemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ujerumani iitwayo Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Mexiko.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Salcedo alianza kazi yake akiwa kijana katika klabu ya C.D. Guadalajara mwaka 2006 na alihamia klabu ya Tigres UANL na kisha klabu ya Real Salt Lake, ambako alianza kazi yake ya kitaaluma mwaka 2013.

Carlos Salcedo alirejea klabu ya Guadalajara mwaka 2015, na mwaka uliofuata alihamia nje ya nchi kwa mkopo klabu ya Fiorentina na Eintracht Frankfurt,akicheza hadi mwisho mwaka 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Salcedo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.