Nenda kwa yaliyomo

Eintracht Frankfurt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Eintracht Frankfurt

Eintracht Frankfurt ni klabu ya mpira wa miguu iliyopo mjini Frankfurt, Hesse, Ujerumani. Ilianzishwa tarehe 8 Machi 1899. Timu hiyo kwa sasa inacheza katika ligi ya Bundesliga.

Eintracht alishinda michuano ya Ujerumani mara moja, kombe la DFB-Pokal mara tano, UEFA Europa League mara mbili na kumaliza kama mshindi wa pili katika Kombe la Ulaya mara moja. Timu hiyo ilikuwa moja kati ya wanachama waanzilishi wa ligi ya Bundesliga wakati wa kuanzishwa kwake. Na imecheza jumla ya msimu 55 na kuwafanya kuwa klabu ya saba iliyoshiriki kwa muda mrefu zaidi.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Die Gründungsmitglieder der Bundesliga". kicker. Iliwekwa mnamo 8 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Eintracht Frankfurt kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.