Bushiri (kata)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bushiri (kata) ni jina la kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 4,348 waishio humo. [1]

Eneo la Bushiri ilikuwa nyumbani kwa Abushiri ibn Salim al-Harthi (au "Bushiri") aliyekuwa kiongozi wa mapambano ya watu wa pwani dhidi ya ukoloni wa Kijerumani mwaka 1888/1889. Alikuwa hapa na shamba lake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-26. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bushiri (kata) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Pangani - Mkoa wa Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bushiri | Bweni | Kimang'a | Kipumbwi | Madanga | Mkunguni | Mkalamo (Pangani) | Mkwaja | Mwera | Pangani Magharibi | Pangani Mashariki | Tungamaa | Ubangaa