Bushiri (Pangani)
Bushiri ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania, yenye Postikodi namba 21307.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 4,127 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 7,294 waishio humo.
Eneo la Bushiri ilikuwa nyumbani kwa Abushiri ibn Salim al-Harthi (au "Bushiri") aliyekuwa kiongozi wa mapambano ya watu wa pwani dhidi ya ukoloni wa Kijerumani mwaka 1888/1889. Alikuwa huko na shamba lake.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Kata za Wilaya ya Pangani - Mkoa wa Tanga - Tanzania | ||||
---|---|---|---|---|
Bushiri | Bweni | Kimang'a | Kipumbwi | Madanga | Masaika | Mikunguni | Mkalamo | Mkwaja | Mwera | Pangani Magharibi | Pangani Mashariki | Tungamaa | Ubangaa
|