Bweni (Pangani)
Mandhari
Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Bweni
Bweni ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania, yenye Postikodi namba 21303.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 1,493 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 1,263 waishio humo.
Wakazi wakaao Bweni wengi ni Wazigua na Wasambaa. Hao husifika sana kutokana na ukarimu walionao.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Pangani - Mkoa wa Tanga - Tanzania | ||||
---|---|---|---|---|
Bushiri | Bweni | Kimang'a | Kipumbwi | Madanga | Masaika | Mikunguni | Mkalamo | Mkwaja | Mwera | Pangani Magharibi | Pangani Mashariki | Tungamaa | Ubangaa
|