Pangani Magharibi
Mandhari
Pangani Magharibi ni kata ya Wilaya ya Pangani katika Mkoa wa Tanga, Tanzania na sehemu ya mji wa Pangani yenye Postikodi namba 21301.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 8,179 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,949 waishio humo. [2]
Pangani Magharibi huitwa pia Myongeni: ni sehemu ambako wafanyakazi wa mashamba makubwa wa katani walipanga nyumba zao nje ya mji wa kihistoria ya Pangani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "2002 Population and Housing Census General Report" (kwa Kiingereza). Government of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-26. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
Kata za Wilaya ya Pangani - Mkoa wa Tanga - Tanzania | ||||
---|---|---|---|---|
Bushiri | Bweni | Kimang'a | Kipumbwi | Madanga | Masaika | Mikunguni | Mkalamo | Mkwaja | Mwera | Pangani Magharibi | Pangani Mashariki | Tungamaa | Ubangaa
|