Bungu (Tanga)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni makala ya Bungu ya Korogwe, Tanga. Kwa matumizi mengine ya jina tazama Bungu (Rufiji), na Bungu (Morogoro).

Bungu ni kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 14,232 waishio humo.

Lugha kubwa ambazo hutumika katika mazingira hayo ni Kisambaa na Kiswahili. Yote ni kutokana na uwepo wa kabila la Wasambaa.

Shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika maeneo hayo ni pamoja na kilimo cha: chai, miwa, iriko, mahindi, maharagwe, matunda, ndizi.

Kata mpya katika tarafa ya Bungu ni kata ya Mpale ambayo huundwa na vijiji kama Millongwe, Tewe, Mali, Kwemanolo.

Ipo shule moja ya sekondari katika kata ya Mpale iitwayo Patema Secondary School katika kijiji cha Tewe.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bungu (Tanga) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Korogwe Vijijini - Mkoa wa Tanga - Tanzania

Bungu | Chekelei | Dindira | Foroforo | Hale | Kalalani | Kerenge | Kizara | Kwagunda | Kwashemshi | Lewa | Lutindi | Magamba Kwalukonge | Magila Gereza | Magoma | Makumba | Mkumbara | Makuyuni | Mashewa | Mazinde | Mgwashi | Mkalamo | Mkomazi | Mlungui | Mnyuzi | Mombo | Mpale | Mswaha | Vugiri