Wilaya ya Korogwe Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Wilaya ya Korogwe katika Tanzania (kijani cheusi)

Korogwe Vijijini ni moja kati ya wilaya 10 za Mkoa wa Tanga katika pwani ya Tanzania.

Makao makuu ya wilaya yako Korogwe mjini.

Mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 242,038 walioishi katika kata 20 za wilaya. Kwa sasa ni 260,744 katika tarafa 4, kata 29 na vijiji 118.

Kuna shule za msingi 118 na sekondari 27 na vituo vya afya 3.

Misimbo ya posta ya wilaya hii huanza kwa tarakimu 216[1].

Mwaka 2012 eneo la mji wa Korogwe lilitengwa na wilaya kuwa wilaya ya pekee.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Korogwe Vijijini - Mkoa wa Tanga - Tanzania

Bungu | Chekelei | Dindira | Kerenge | Kizara | Kwagunda | Kwashemshi | Lutindi | Magamba Kwalukonge | Magoma | Magila Gereza | Makumba | Mkumbara | Makuyuni | Mashewa | Mazinde | Mgwashi | Mkalamo | Mkomazi | Mlungui | Mnyuzi | Mombo | Mpale | Mswaha | Vugiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Korogwe Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.