Mashewa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mashewa ni kata ya Wilaya ya Korogwe Vijijini katika Mkoa wa Tanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 11,938 [1] waishio humo.

Vijiji karibu ya Mashewa ni Kibaoni, Kumba, Kijungu Moto, Mshihwi, Mtoni Bombo, Daluni, Bombo Majimoto, Kulasi, Magoma n.k.

Wazee maarufu wa Mashewa walikuwa Salim Mwarabu (1932-2001), Salim Msambaa, Ahmed Hilal (Mkoloni), Vicent Mussa, Mwalim Sharifu, Adballah Shekalage, Salim Ahmed Kontrol, Mohammed Said, Mohamed Hemed Jokha na wengineo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mashewa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Korogwe Vijijini - Mkoa wa Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bungu | Chekelei | Dindira | Kerenge | Kizara | Kwagunda | Kwashemshi | Lutindi | Magamba Kwalukonge | Magoma | Magila Gereza | Makumba | Mkumbara | Makuyuni | Mashewa | Mazinde | Mgwashi | Mkalamo | Mkomazi | Mlungui | Mnyuzi | Mombo | Mpale | Mswaha | Vugiri