Bamboo Airways

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bamboo Airways
Faili:Bamboo Airways logo.svg
IATA
'
ICAO
'
Callsign
'
Kimeanzishwa 2017
Ilianza huduma 1 October 2018
Vituo vikuu
Ndege zake 44
Shabaha
Nembo Hơn cả một chuyến bay! - More than a flight
Kampuni mama FLC Group
Makao makuu Qui Nhon, Vietnam
Watu wakuu Đỗ Tất Thắng (CEO)
Tovuti https://www.bambooairways.com/vi/

https://www.bambooairways.com/en/

Bamboo Airways ni kampuni ya ndege ya taifa ya Vietnam yenye makao makuu jijini Hanoi.

Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1996 baada ya kuvunjika kwa Cong ty Hang khong Tre Viet kulikopelekea kuvunjika kwa "Hang hang khong Tre Viet".

Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Asia, Ulaya na Australia. [1][2] [3] Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Asia kuliko kampuni yoyote barani Asia.

Ndege zitaanza kuruka mwezi Oktoba 2018. Mwanzoni, zitatumika ndege za kukodisha kutoka Airbus.

Kampuni hiyo ilisaini makubaliano na Airbus kwa Airbus A321neo 24. Mnamo 26 Juni 2018, kampuni hiyo ilisaini makubaliano na Boeing kwa Boeing 787 Dreamliner. Ndege itatolewa mwaka wa 2020.[4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]