Uwanja wa Ndege wa Tan Son Nhat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tan Son Nhat International Airport
Sân bay Quốc tế Tân Sơn Nhất
IATA: SGNICAO: VVTS
Muhtasari
Aina Public
Mmiliki Vietnamese government
Opareta Southern Airports Corporation
Serves Mji wa Ho Chi Minh , Vietnam
Kitovu cha Indochina Airlines
Jetstar Pacific Airlines
Vietnam Airlines
Mwinuko 
Juu ya UB
10 m / 33 ft
Anwani ya kijiografia 10°49′08″N 106°39′07″E / 10.81889°N 106.65194°E / 10.81889; 106.65194
Tovuti [1]
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
07L/25R 3,048 10,000 Concrete
07R/25L 3,800 12,468 Concrete
Takwimu (2008)
Passenger movements 12.427.808 [1]
Airfreight movements in tonnes 444.223 [1]
Aircraft movements 98.002 [1]


Uwanja wa Ndege wa Tan Son Nhat ni uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mji wa Ho Chi Minh nchini Vietnam. Ni kati ya nyanja za ndege kubwa ikiwa na abiria zaidi ya milioni 11 wanaopita.

Jina kamili kwa Kivietnam ni Sân bay quốc tế Tân Sơn Nhất au kwa Kiingereza Tan Son Nhat international Airport.

Ni kituo kikuu cha Vietnam Airlines.

Kiwanja cha ndege kipo kilomita 7 kusini kwa Saigon na safari kwa treni kutoka mjini ni dakika 20.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 http://www.tsnairport.hochiminhcity.gov.vn/vn/default.aspx?cat_id=717&news_id=708&cl1=674#content