Nenda kwa yaliyomo

Artaldo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alivyochorwa akisali.

Artaldo, O.Cart. (pia: Artaldus, Arthaud, Arthold; Valromey, Savoie, leo nchini Ufaransa, 1101 - Belley, Ufaransa, 6 Oktoba 1206) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 1188 hadi 1190 chake[1].

Alipofikia umri wa miaka 20 aliacha ikulu akaingia katika shirika la Wakartusi alipoishi kwanza miaka 67.

Baada ya kukubaliwa kuacha uongozi wa jimbo, alirudi monasterini alipoishi tena miaka 16[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Gregori XVI mwaka 1834.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.