Apolo (mitholojia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Apolo
Apollo ny carlsberg glyptotek.jpg
Sanamu ya Apolo na alama zake—lira na nyoka Pithoni
Mungu wa nuru, tiba, muziki, ushairi, tauni, jua na elimu
MakaoMlima Olimpos
AlamaLira, Zingo la mbei, Pithoni, Kunguru, Upinde na mishale
WazaziZeu na Leto
NduguArtemi
Ulinganifu wa KirumiApolo

Apolo (kwa Kiatika, Kiionia, na Kihomeri: Ἀπόλλων, Apollōn (jen.: Ἀπόλλωνος); kwa Kidoriki: Ἀπέλλων, Apellōn; kwa Kiarkadokupro: Ἀπείλων, Apeilōn; kwa Kieolia: Ἄπλουν, Aploun; kwa Kilatini: Apollō) ni jina la mungu wa nuru na ushairi katika mitholojia ya Kigiriki na Kirumi.

Kwa asili alikuwa mungu wa Kigiriki lakini ibada yake ilisambaa mapema katika Roma ya Kale pia. Wakati mwingine aliabudiwa kwa jina la Kiroma Phoebus.

Icon-religion.svg Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.