The Documentary
The Documentary ni albamu ya kwanza kutolewa na rapa wa West Coast - The Game. Albamu ilitolewa mnamo tarehe 18 Januari 2005 kupitia studio ya Interscope Records. Ni baada ya kupata afadhali ya majelaha yake aliopigwa na risasi kunako mwishoni mwa mwaka wa 2001, The Game akajiendeleza na maswala yake ya kurap na akaja kugunduliwa na Dr. Dre, ambaye baadaye alimsajiri katika stuido yake ya Aftermath Entertainment.
Utayarishaji wa albamu hiyo haukuwekewa vizingiti kuwa Dr. Dre ndiye atakaye tayarisha tu, bali hata Kanye West na Timbaland nao walitia mikono yao, na kwa upande wa waimbaji alikuwemo 50 Cent, Nate Dogg, na Faith Evans
Albamu ya The Documentary imepata kutajwa kuwa ni albamu namba moja katika albamu 200 bora katika mauzo ya Billboard, kufikisha kiwango cha kuuza nakala 586,000 katika wiki ya kwanza. Na kuifanya albamu kupata platinamu mara mbili katika mwezi wa Machi mnamo mwaka wa 2005 na pia kuweza kuuza zaidi ya nakala milioni sita kwa hesabu ya dunia nzima.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]Maelezo kuhusu albamu ya The Documentary yamechukuliwa kutoka katika 's marejeo ya albamu hii.[1]
# | Jina | Mtayarishaji(wa) | Alioshirikishwa(wa) | Mifano | Muda |
---|---|---|---|---|---|
1 | "Intro" | Dr. Dre, Che Vicious | "Down into the Magic" ya Donald Kerr | 0:32 | |
2 | "Westside Story" | Dr. Dre, Scott Storch | 50 Cent | 3:43 | |
3 | "Dreams" | Kanye West | "No Money Down" ya Jerry Butler | 4:46 | |
4 | "Hate It or Love It" | Cool na Dre | 50 Cent | "Rubberband" ya The Trammps | 3:26 |
5 | "Higher" | Dr. Dre, Mark Batson | 4:05 | ||
6 | "How We Do" | Dr. Dre, Mike Elizondo | 50 Cent | 3:55 | |
7 | "Don't Need Your Love" | Havoc, Utayarishaji wa Ziada wa Dr. Dre | Faith Evans | "Not Gon Cry" ya Mary J. Blige | 4:26 |
8 | "Church for Thugs" | Just Blaze | 4:14 | ||
9 | "Put You On The Game" | Timbaland | Timbaland | 4:07 | |
10 | "The Documentary" | Jeff Bhasker, kwa ushirkiano wa Jeff Reed | 4:11 | ||
11 | "Start From Scratch" | Dr. Dre, Scott Storch | Marsha Of Floetry | 4:07 | |
12 | "Runnin'" | Hi-Tek | Tony Yayo, Dion | 4:26 | |
13 | "No More Fun and Games" | Just Blaze | "You Can't Love Me, If You Don't Respect Me" ya Lyn Collins na "Gangsta, Gangsta" ya N.W.A | 2:37 | |
14 | "We Ain't" | Eminem, kwa ushirikiano wa Luis Resto | Eminem | "The Watcher" ya Dr. Dre, "One Day at a Time" ya Tupac Shakur, na "Patiently Waiting" ya 50 Cent | 4:46 |
15 | "Where I'm From" | Focus | Nate Dogg | "Amanda" ya Dionne Warwick | 3:08 |
16 | "Special" | Needlz | Nate Dogg | "Catherine Howard" ya Rick Wakeman | 3:57 |
17 | "Don't Worry" | Dr. Dre, Mike Elizondo | Mary J. Blige | 4:11 | |
18 | "Like Father, Like Son" | Buckwild | Busta Rhymes | "Mariya" ya The Family Circle | 5:27 |
19 | "Til' The Wheels Fall Off [*]" | Mr. Porter | Mr. Porter | 3:17 |
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati za (2005)[2] | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Albums Chart | 42 |
Austrian Albums Chart | 44 |
Belgium Albums Chart | 17 |
Canadian Albums Chart | 1 |
Dutch Albums Chart | 10 |
French Albums Chart | 7 |
German Albums Chart | 11 |
Irish Albums Chart | 6 |
New Zealand Albums Chart | 3 |
Norwegian Albums Chart | 11 |
Swiss Albums Chart | 8 |
UK Albums Chart | 7 |
United World Chart | 1 |
U.S. Billboard 200 | 1 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Documentary (Compton Collector's Edition) Archived 27 Julai 2013 at the Wayback Machine.. Hurricane Game. Imeingizwa tar. 6 Januari 2008.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedacharts
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official website run by The Game Archived 5 Januari 2009 at the Wayback Machine.
- Official website run by Geffen Records
- The Game katika MySpace